Umati wa wananchi wa Serengeti Mkoani Mara wakiwa wamehudhuria kwa wingi Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Sokoine Mjini Mugumu. Dkt. Samia amehitimisha mikutano ya Kampeni Mkoani humo na ameelekea Mkoani Simiyu kuendelea na kampeni
Friday, October 10, 2025
New
SERENGETI WAUJAZA UWANJA WA SOKOINE, KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment