SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI WA CHATO KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, October 13, 2025

SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI WA CHATO KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA


Maelfu ya Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyekuwa na Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wq Oktoba 29, 2025 kwenye Wilaya hiyo. Dkt. Samia amehitimisha Mikutano yake ya Kampeni Mkoani humo akisisitiza utulivu, amani na usalama wa kutosha siku ya upigaji kura ili kila mmoja aweze kutimiza haki yake ya Kikatiba kwa salama na kuwaomba wananchi wote kujitokeza kwa wingi kumchagua na kuwachagua wabunge na Madiwani wanaotokana na CCM.

No comments:

Post a Comment