Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Daniel Baran Sillo katika vazi rasmi la Naibu Spika wakati za zoezi la kupiga picha kwa mara ya kwanza mara baada ya kuchaguliwa.
Mhe. Sillo amechaguliwa wakati wa Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu uliofanyika leo Novemba 13, 2025 Jijini Dodoma.




No comments:
Post a Comment