
"Tunataka amani ya nchi yetu ilindwe na hili ni jambo la kila mmoja wetu si serikali pekee bali watanzania wote kwa ujumla"
"Kumekuwa na malalamiko ya kulalamika huko mitandaoni kuwa watu wameuliwa, watu wameumia, oooh vyombo vimehusika kupiga watu risasi...niwaambie nguvu hiyohiyo kubwa inayotumika kutoa malalamiko hayo iende sambamba na kwa waliochochea vurugu hizo...lazima tujiulize waliochochea vurugu walikuwa na lengo gani ?? wao ni sehemu ya matokeo ya kilichotokea..maana yake ni walidhamiria kuona amani ya Taifa letu inavurugika"
"ukitazama hao wote waliochochea hizi vurugu na kuendelea kuchochea ni wanaharakati wa hovyo ambao hawaishi nchini ndio maana sisi kama MECIRA tumeziandika barua balozi za Marekani na Kenya kuwataka kuturudishia hao watu kwakuwa wanaishi kwenye ardhi zao"
Bw. 𝗛𝗮𝗯𝗶𝗯𝘂 𝗠𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗲
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali za Taifa
Mkutano na Wanahabari
🗓️17 Disemba 2025

No comments:
Post a Comment