Benki ya NMB na Breakthrough Attorneys washirikiana kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Madini Tanzania. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, February 16, 2026

Benki ya NMB na Breakthrough Attorneys washirikiana kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Madini Tanzania.


Wajumbe kutoka Benki ya NMB wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde (wa tatu kushoto) , pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James G. Bwana (wa nne kushoto), wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania lililofanyika jijini Cape Town, Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment