Baada ya kusimama kwa Ligi mbalimbali
duniani kutokana na kupisha mechi za kimataifa, weekend ya November 21
na 22 Ligi ziliendelea kama kawaida na November 24 na 25 mechi za
marudiano za hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
zinaendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa, baadhi ya vilabu
vinarejea uwanjani vikiwa na kumbukumbu ya ushindi na nyingine vipigo
kutoka katika mechi zao za Ligi. Naomba nikusogezee ratiba ya mechi za
Ligi ya Mabingwa Ulaya zitakazochezwa November 24 na 25.
Tuesday, November 24, 2015
New
Baada ya ushindi wa Laliga, FC Barcelona wanawasubiri AS Roma, hii ni ratiba kamili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Nov 24 na 25
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment