Droo hii itafanyika Desemba 12.
Droo hiyo itakuwa na Timu 24 ambazo zimegawanywa katika Vyungu Vinne vyenye Timu 6 kila kimoja kulingana na Nafasi zao za kwenye Listi ya Ubora.
Fainali za EURO 2016 zitachezwa Mwakani kuanzia Juni huko France.
DROO-Mgawanyo wa Vyungu:
**Kila Chungu kitatoa Timu 1 kuingizwa kwenye moja ya Makundi 6 [A hadi F]
**France, kama Wenyeji, wao wapo Kundi A
CHUNGU A
France, Germany, Spain, Portugal, Belgium, England
CHUNGU B
Italy, Austria, Switzerland, Russia, Croatia, Ukraine
CHUNGU C
Czech Republic, Sweden, Poland, Romania, Slovakia, Hungary
CHUNGU D
Turkey, Republic of Ireland, Iceland, Wales, Albania, Northern Ireland
+++++++++++++++++++++++
TIMU ZILIVYOFUZU:
-France [Wenyeji]
-KUNDI A: Iceland, Czech Republic, Turkey
-KUNDI B: Belgium, Wales
-KUNDI C: Spain, Slovakia
-KUNDI D: Germany, Poland
-KUNDI E: England, Switzerland
-KUNDI F: Northern Ireland, Romania
-KUNDI G: Austria, Russia
-KUNDI H: Italy, Croatia
-KUNDI I: Portugal, Albania
-Mechi za Mchujo: Hungary, Ireland, Ukraine, Sweden
++++++++++++++++++++++++
No comments:
Post a Comment