Kujaribu ni jambo jema katika maisha ya mwanadamu, lakini wakati
mwingine inakuwa si sahihi.
Angalia Kocha David Moyes anavyohangaika sasa! Baada ya kutimuliwa Man
United, alipata ajira Real Sociedad ya Hispania, nao wamemtimua.
Socieadad wameamua kumfuta kazi baada ya kipigo cha mabao 2-0 baada ya
kuchapwa na timu iliyopanda ya Las Palmas.
Kipigo hicho kimeifanya Sociedad kusogea shimoni kabisa na inatakiwa kupambana kuepuka kuingia kwenye kundi la wanaotakiwa kuteremka daraja.
No comments:
Post a Comment