KENYA YAFA KIUME, YAONDOLEWA NA CAPE VERDE KWA JUMLA YA MABAO 2-1 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 18, 2015

KENYA YAFA KIUME, YAONDOLEWA NA CAPE VERDE KWA JUMLA YA MABAO 2-1



Kenya nayo imeshindwa kufuzu katika hatua ya makundi kuwania kucheza Kombe la Dunia baada ya kufungwa kwa mabao 2-0 na Cape Verde ikiwa mjini Praia.

Kipigo hicho kinaifanya Kenya kuondoka kwa jumla ya mabao 2-1 kwa kuwa ilishinda kwa bao 1-0 mjini Nairobi katika mchezo wa kwanza.

No comments:

Post a Comment