IKIWA UGENINI, SAUDI ARABIA YAIFUMUA TIMOR MABAO 10-0 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 18, 2015

IKIWA UGENINI, SAUDI ARABIA YAIFUMUA TIMOR MABAO 10-0



SAUDI ARABIA
Saudi Arabia imeitwanga East Timor kwa mabao 10-0 katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia.

Saudi Arabia ambayo ilikuwa ugenini, imeinyanyasa timu hiyo ya Timor kwa kuitandika mabao hao 10 bila majibu.
TIMOR...
Hadi mapumziko, Saudi Arabia ilikuwa inaongoza kwa mabao mabao manne, kipindi cha pili ikaongeza mengine sita na kukamilisha idadi hiyo ya mabao sita.

Wageni hao ndiyo walionekana kuutawala mpira muda wote wangeweza kufunga hata mabao 15 au zaidi kama wangekuwa makini.

No comments:

Post a Comment