Baada ya kusimama kwa mechi za Ligi Kuu Uingereza na Hispania
kwa siku kadhaa ili kupisha michezo ya mechi za kimataifa, November 21
Ligi hizo zinaendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa katika
viwanja mbalimbali Hispania na Uingereza, ila kuna mechi mbili kubwa ambazo zinavuta hisia za watu wengi mtu wangu, kwa Uingereza ni mchezo kati ya Man City dhidi ya Liverpool wakati Hispania kuna mchezo wa El Clasico kati ya Real Madrid dhidi ya wapinzani wao FC Barcelona. Naomba nikusogezee ratiba ya mechi kamili za weekend hii mtu wangu.
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania zitakazochezwa November 21 kwa saa za Afrika Mashariki
- Real Sociedad Vs Sevilla Saa 18:00
- Real Madrid Vs Barcelona Saa 20:15
- Espanyol Vs Málaga Saa 22:30
- Valencia Vs Las Palmas Saa 00:00
- Deportivo de La Coruña Vs Celta de Vigo Saa 00:05
Jumapili ya November 22
- Sporting de Gijón Vs Levante Saa 14:00
- Villarreal Vs Eibar Saa 18:00
- Granada CF Vs Ath Bilbao Saa 20:15
- Real Betis Vs Atl Madrid Saa 22:30
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza zitakazochezwa November 21 kwa saa za Afrika Mashariki
- Watford Vs Man Utd Saa 15:45
- Chelsea Vs Norwich Saa 18:00
- Everton Vs Aston Villa Saa 18:00
- Newcastle Vs Leicester Saa 18:00
- Southampton Vs Stoke Saa 18:00
- Swansea Vs Bournemouth Saa 18:00
- West Brom Vs Arsenal Saa 18:00
- Man City Vs Liverpool Saa 20:30
- Tottenham Vs West Ham Saa 19:00
No comments:
Post a Comment