Lakini watalaam wamekuja na utundu mwingine na kuufanya uwanja huu wa mpira uliopo Norway kuwa wenye mvuto zaidi duniani kwa muonekano wake.
Huu ni uwanja ambao hauna majukwaa ya mashabiki na unatumika kwa wachezaji wanaocheza soka la ridhaa.
Unaweza ukaona mandhari yake na kukufanya kujiuliza maswali mengi ikiwemo ni vipi unamudu kuchukua watazamaji wachache kwa wakati mmoja kutokana na kuwa katikati ya bahari.
No comments:
Post a Comment