Timu ya taifa ya Tanzania bara Kilimanjaro Stars imewasili Dar Es Salaam December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya Ethiopia katika michuano ya mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup 2015. Kilimanjaro Stars itolewa na Ethiopia
katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika
90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu
ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam.
Wednesday, December 2, 2015
New
Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JNIA Dar baada ya kutolewa Challenge …
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment