Mwimbaji Baraka De Prince Amefunguka na kusema kuwa ili ufanye nae
Collabo kwenye wimbo wako ni lazima kwanza ausikilize wimbo wako alafu
aupende , asipoupenda hata umpe hela yoyote hawezi fanya Colloba na
wewe, Ameongeza kwa kusema kuwa hata kama ukipitia kwa management yake
kama wimbo ni mbaya hafanyi Collabo....
No comments:
Post a Comment