Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika
kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya.
Ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa
Ikulu, Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea
sikukuu hizo kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa
pamoja ili nchi iweze kufanikiwa zaidi.
No comments:
Post a Comment