OKULY BLOG INAKUKARIBISHA WEWE MFANYABIASHARA,MJASIRIAMALI,TAASISI ZA SERIKALI NA BINAFSI KUTANGAZA NASI MATANGAZO MBALIMBALI KWA GHARAMA NAFUU KABISA...WOTE MNAKARIBISHWA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, February 11, 2022

OKULY BLOG INAKUKARIBISHA WEWE MFANYABIASHARA,MJASIRIAMALI,TAASISI ZA SERIKALI NA BINAFSI KUTANGAZA NASI MATANGAZO MBALIMBALI KWA GHARAMA NAFUU KABISA...WOTE MNAKARIBISHWA.



Inawezekana kwa kiasi fulani Mwaka 2021 umekuendea vibaya nikimaanisha katika kuyatimiza yale ambayo ulitamani kuwa nayo katika mwaka huo lakini kwa kiasi hujaweza kuyafanyia kazi au umeyafanyia lakini bado hujafikia lile lengo kuu ambalo ulilitamani.

OKULY BLOG inakutia moyo kwamba bado unanafasi ya kuanza tena kwa sababu moja kati ya dhambi kubwa katika ulimwengu huu ni kukata tamaa simama tena tazama pale ulipojikwaa alafu anzia hapohapo mwaka 2022 ili kuhakikisha uachi viporo nyuma kwa sababu vitaendelea kukukera kutokana kwamba vilitakiwa uvimalizia.

Moja kati ya waandishi wakubwa wa vitabu Duniani Mahatma Gandhi alishawahi kusema "Never allow somebody to walk in your mind with his/her dirty feet" akimaanisha kwamba "Usije ukamruhusu mtu kutembea katika fahamu zako kwa miguu yake michafu" .



Hivyo OKULY BLOG inakushauri usikubali mtu kukukatisha tamaa pambana kwa sababu kukatishwa tamaa ni sawa na mtu kutembea kwenye akili yako na miguu yake michafu hivyo kataa kata kata kukatishwa tamaa ni dhambi ambayo mwisho wake utatupwa motoni na umaskini itakuwa bega kwa bega na wewe kwa sababu kila utakachokijaribu kukifanya unakata tamaa.

OKULY BLOG inaamini kwamba mwaka wa 2021 umekwisha hivyo usijute tena kwa kutofanikisha malengo yako waza 2022 ukiamini kuwa ndoto na malengo yako yanakwenda kukamilika pambana usiku na mchana kutetea maisha yako kwa sababu yapo kwenye viganja vya mikono yako ni wewe tu kuchukua hatua.

Tunakuahidi kwamba mwaka 2022 OKULY BLOG itakuwa karibu yako zaidi kwa matukio mbalimbali ya Kijamii,kisiasa,kiuchumi,Kielimu na burudani na michezo na matangazo ya taasisi pia tunazipokea na kutangaza kwa ufanisi mkubwa .

Kwa matangazo madogo na makubwa wasiliana na OKULY BLOG kwa simu namba zifuatazo
0785364965

Au barua pepe OkulyJulius@gmail.com

Tangaza nasi hakika mabadiliko katika biashara yako yataonekana Biashara ni Matangazo hivyo 2022 tangaza biashara yako kupitia OKULY BLOG always we ara PROPER .

Kwa sasa Familia ya OKULY BLOG imekua na zaidi ya Viewers elfu 31 hivyo Tangaza nasi naamini hutojutia

  2022 uwe mwaka wa mafanikio kwako msomaji wa Tovuti yetu.
                                      Okulyblog.blogspot.com

                                      WOTE MNAKARIBISHWA 

No comments:

Post a Comment