Na Okuly Julius-Dodoma
Matukio mbalimbali ya picha wakati wa Kongamano la miaka 100 ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa kitaifa wa taasisi ya Mwalimu Nyerere,,Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Mei 14,20022 .Mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu mstaafu, Mzee Mizengo Pinda mbali na kuzindua Taasisi hiyo pia amezindua katiba ya taasisi hiyo.
No comments:
Post a Comment