MPOLE AENDELA KUWA MWIBA KWA MABEKI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, May 22, 2022

MPOLE AENDELA KUWA MWIBA KWA MABEKI



KLABU ya Simba imeshindwa kufurukuta mbele ya Geita Gold Fc mara baada ya kulazimisha sare ya 1-1 kwenye mcehzo huo ulipigwa kwenye dimba la CCM Kirimba Mwanza.

George Mpole ameendelea kuwa mwiba kwa timu pinzani mara baada ya leo kupachika bao kwenye mchezo huo na kuendelea kufukuziana na Fiston Mayele katika kinyang'anyiro cha mfungaji bora wa ligi.

No comments:

Post a Comment