Na Mwandishi wetu-Arusha
Katika kuhakikisha wadau wa mbolea wa Kanda ya Kaskazini wanajengewa uwezo katika kufahamu na kuzielewa kanuni na Sheria zinazosimamia tasnia ya mbolea nchini, uongozi wa kanda hiyo umekuja na Mkakati wa kutoa mafunzo hayo Wilaya kwa Wilaya.
Katika kuhakikisha hilo linatekelezeka Timu ya wataalamu kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania wa kanda tajwa wameendelea kutoa mafunzo kwa wadau wao waliopo katika Wilaya ya Rombo ambapo wafanyabiashara wa mbolea 57 wamenufaika na mafunzo hayo yaliyotolewa tarehe 12 Mei, 2022
Mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Rombo yaliwashirikisha wadau wa mbolea kutoka Tarakea, Rombo, Marangu na Moshi Dc.
Washiriki wameendelea Kuishuruku Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea kwa juhudi kubwa inayofanya ya kuhakikisha elimu ya matumizi sahihi ya Mbolea katika Wilaya hiyo inatolewa.
Pamoja na mada zote muhimu juu ya biashara na matumizi sahihi ya mbolea wataa
No comments:
Post a Comment