Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar Ndugu Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiomba dua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe 19 Septemba, 2025. Dkt. Samia yupo Zanzibar kwenye Kampeni za kisiasa Visiwani Zanzibar, akitarajiwa kuwa na Mkutano wa kampeni Unguja na Pemba Visiwani Zanzibar.
Friday, September 19, 2025
New
DKT. SAMIA NA DKT. MWINYI WAOMBA DUA KWENYE KABURI LA SHEIKH KARUME
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment