Na Mwandishi wetu Dodoma
Mkuu wa Kliniki ya Magonjwa ya Damu BMH, Dkt Stella Malangahe, amesema BMH imeanza huduma hii baada ya kupata mashine maalumu inayoitwa apheresis_ _machine_ na leo imemfanyia mgonjwa wa kwanza.
" Mgonjwa anabadilisha chembe nyekundu za damu kila baada ya miezi mitatu kumuondolea changamoto ya magonjwa ya seli mundu ikiwemo maumivu ya viungo ya mara kwa mara" amesema Dkt Malangahe.
No comments:
Post a Comment