"Serikali inapendekeza kutoa mikopo ya magari kwa watumishi ili kila mmoja ajitegemee kulihudumia gari lake aone uchungu wa kutumia vibaya na likiharibika atagharamia mwenyewe tuone kama ataweza kutumia vibaya kama wanavyofanya sasa hivi" Dkt.Mwigulu Nchemba
"Sio lazima dereva akistaafu amrithishe mwanae udereva kwa sababu kwa mpango uliopo tutaendelea kuwapunguza mpaka watabaki wachachekwa ajili ya watumishi wachache na kazi maalumu"Amesisitiza Dkt.Mwigulu Nchemba
" Serikali inapendekeza kuongezwa kwa ushuru wa uagizaji wa nywele bandia na hii ni kuajili ya kukuza viwanda vya ndani" Dkt.Mwigulu Nchemba
No comments:
Post a Comment