Na Okuly Julius Dodoma
Hayo yameelezwa jijini dodoma na naibu waziri wa fedha na mipango HAMAD HASSAN CHANDE wakati akizindua kanuni za maadili kwa watumishi wa umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za ununuzi wa umma ambapo amesisitiza kuwachukulia hatua watakaoshindwa kufata maadili ya ununuzi wa umma.
Kwa upande wake katibu mkuu wizara ya fedha na mipango EMMANUEL TUTUBA amesma kuwa kanuni hizo zitaimarisha maadili katika ununuzi wa umma na kuondokana na tatizo la baadhi ya wanunuzi wa umma kushirikiana na wazabuni kufanya
Naye kamishina wa sera za ununuzi wa umma DKT.FREDRICK MWAKIBINGA akatumia fursa hiyo kueleza changamoto zinakabili sekta hiyo ya manunuzi ya umma ikiwemo usimamizi wa mikataba mibovu ya ununuzi na kuingiliwa kiutendaji kada hiyo ya ununuzi wa umma.
No comments:
Post a Comment