MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU NA KAMATI TENDAJI CHA KUJADILI UBORESHAJI WA HUDUMA MBALIMBALI ZA KIJAMII KWA WANANCHI WANAOHAMIA KWA HIARI KATIKA KIJIJI CHA MSOMERA WILAYA YA HANDENI TANGA  - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, July 7, 2022

MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU NA KAMATI TENDAJI CHA KUJADILI UBORESHAJI WA HUDUMA MBALIMBALI ZA KIJAMII KWA WANANCHI WANAOHAMIA KWA HIARI KATIKA KIJIJI CHA MSOMERA WILAYA YA HANDENI TANGA 

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Katibu Mkuu TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akieleza jambo wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.Kikao kilifanyika Tarehe 7 Julai, 2022.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Allan Kijazi akifafanuya jambo wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akichangia jambo kuhusu uboreshaji wa miundombinu ya mawasiliano katika kijiji cha Msomera wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo Bw. Tixon Nzunda akizungumza jambo wakati wa kikao kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Julai 7, 2022.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Siriel Mchembe akizungumza wakati wa kikao hicho.
Meneja RUWASA Mkoa wa Tanga Mhandisi Upendo Omary akieleza mikakati ya kuendelea kuhakikisha huduma ya maji inaboreshwa katika Kijiji cha Msomera wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za posta Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bi. Caroline Kanuti akifafanua jambo.
Meza kuu wakifuatilia uwasilishwaji wa hoja wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kikao hicho.


                                  (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment