WAZIRI MKENDA AMPOKEA WAZIRI WA MAMBO YA RAIS WA SUDANI KUSINI DKT BARNABA MARIEL - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, July 21, 2022

WAZIRI MKENDA AMPOKEA WAZIRI WA MAMBO YA RAIS WA SUDANI KUSINI DKT BARNABA MARIEL


Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) tarehe 20 Julai 2022 amempokea Waziri wa Mambo ya Rais wa Sudani Kusini Mhe Dkt Barnaba Marial Benjamin katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Dkt Barnaba amewasili nchini kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Sudani Kusini Mhe Salva Kiir kwenye Mkutano wa 22 wa Wakuu wa nchi na serikali wa jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika kuanzia tarehe 21-22 Julai 2022 katika ukumbi Ukumbi wa kimataifa wa mikutano-AICC Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment