SHIRIKA LA POSTA LINAWALETEA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, August 4, 2022

SHIRIKA LA POSTA LINAWALETEA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA.


Kuelekea kilele cha siku ya Posta Duniani tarehe 9 Octoba,

Shirika la posta linawatangazia Wanafunzi chini ya umri wa miaka 18 kushiriki Shindano la Uandishi wa Barua na kujishindia zawadi nono.

MADA:"Andika barua ukimuelimisha rafiki yako anayeishi Mkoa mwingine nchini Tanzania kuhusu umuhimu wa Anwani za Makazi kwa huduma ya Posta katika ujenzi wa uchumi Kidijitali."

Mwisho wa kushiriki ni tarehe 18,septemba,2022.

No comments:

Post a Comment