MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA KUTOKA IKULU CHAMWINO WAKATI MHE.RAIS SAMIA ALIPOTEMBELEWA NA RAIS WA KAMPUNI YA TOTALENERGIES - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 29, 2022

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA KUTOKA IKULU CHAMWINO WAKATI MHE.RAIS SAMIA ALIPOTEMBELEWA NA RAIS WA KAMPUNI YA TOTALENERGIES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment