| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika moja ya Mikutano ilioandaliwa na Benki ya Dunia kuhusu miradi mbalimbali ya Mazingira inayosaidia kupunguza hewa ukaa kwenye muendelezo wa COP 27 nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022. Mkutano huo ulioongozwa na Rais wa Benki ya Dunia David Malpass, pia umehudhuriwa na Rais wa Msumbiji Filipe Nyussi. |
No comments:
Post a Comment