MATUKIO KATIKA PICHA: MKUTANO WA MAAFISA VIUNGO WA AFYA MOJA MKOANI MOROGORO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, December 14, 2022

MATUKIO KATIKA PICHA: MKUTANO WA MAAFISA VIUNGO WA AFYA MOJA MKOANI MOROGORO

Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Andrew Yona Kitua akiongoza Mkutano wa Maafisa Viungo wa Afya Moja kwa ajili ya Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za Afya Moja kwa mwaka 2022 walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Edema Mkoani Morogoro tarehe 14 Disemba, 2022.
Mtaalam wa Epidemiolojia kutoka Shirikia la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Dkt. Niwael Mtui akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Mhadhili Idara ya Tiba na Mifugo na Afya ya Jamii SUA Dkt. Janeth George akieleza kuhusu masuala ya umuhimu wa Mkakati wa Mawasiliano kuhusu masuala ya Afya Moja ili kuhabarisha umma kwa ufanisi wakati wa mkutano huo.
Mratibu wa Mradi kutoka RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative) Bw. Michael Mosha akizungumza kuhusu masuala ya usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa katika dhana ya Afya wakati wa mkutano wa wadau wa Afya Moja mkoani Morogoro.
Mtaalam Mshauri wa Afya Moja kutoka Taasisi ya RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative) Bw. Harrison Chinyuka akifuatilia mkutano wa wadau wa Afya Moja.
Wajumbe wa mkutano wa wadau wa Afya Moja wakiwa katika kazi za makundi wakati wa mkutano wao wa kufanya Tathimini ya Utekelezajiwa shughuli za Afya Moja kwa Mwaka 2022.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment