Na Mwandishi wetu, Muleba
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mhe.Kemilembe Rose Lwota ameshiriki zoezi la ugawaji vifaa vya Maokozi kwa wavuvi katika Kisiwa cha Kimoyomoyo Kata ya Mazinga,Wilayani Muleba Mkoani Kagera.
Tukio la Ugawaji wa Vifaa hivyo limefanyika baada ya Wavuvi hao kupatiwa Mafunzo ya kuimarisha ujuzi na uzalendo kwa vikundi vya Maokozi vya Wavuvi katika Bahari na Maziwa Makuu.
Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge na Uratibu Disemba 3,2022
No comments:
Post a Comment