KIKOSI KAZI KAZINI KUJADILI MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, January 11, 2023

KIKOSI KAZI KAZINI KUJADILI MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI

Kikosi kazi cha kuratibu Serikali kuhamia Dodoma,Wakandarasa na Washauri Elekezi wamekutana katika kikao cha Tatu kwa ajili ya kujadili mendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara kwa awamu ya Pili.

Kikao kazi hicho kimefanyika hii leo Januari 11,2023, katika Ofisi za TAMISEMI iliyopo Mtumba Jijini Dodoma na kuongozwa na Katibu wa kikosi kazi hicho ambaye pia ni Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Bw.Meshach Bandawe.



No comments:

Post a Comment