RAIS SAMIA AWATUA NDOO KICHWANI KINA MAMA WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, January 3, 2023

RAIS SAMIA AWATUA NDOO KICHWANI KINA MAMA WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI


Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amefika na kuutembelea Mradi wa maji unaotekelezwa na RUWASA wilaya ya Morogoro leo na kuweka jiwe la msingi pamoja na kuzungumza na wananchi waliofika eneo la Mradi kumpokea.


Aidha wakati wa tukio hilo Waziri Aweso ameelekeza RUWASA kuhakikisha wanaongeza pump nyingine yenye uwezo mkubwa kusukuma Maji kitongoji cha Milangomiwili ambacho hakijapatiwa maji.

Katika hatua nyingine Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mhe Inocent Kolegeresi amepongeza juhudi za serekali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa fedha nyingi za miradi ya maji katika jimbo lake zaidi ya shl. Bilion 1.7

No comments:

Post a Comment