HABARI PICHA WAKATI WAZIRI MKUU AKIONGOZA KIKAO CHA TISA CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, February 25, 2023

HABARI PICHA WAKATI WAZIRI MKUU AKIONGOZA KIKAO CHA TISA CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) tarehe 25 Februari, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa kikao cha Tisa cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichofanyika.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu akizungumza wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya Makatibu Wakuu wakifuatilia kikao cha kikao cha Tisa cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) Februari 25, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt Albina Chuwa (kulia) akiteta jambo na Mtakwimu Mkuu wa Zanziabr Salum Khamis (kushoto) wakati wa kikao hicho.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa (kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu wakati wa kikao hicho.Kushoto ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe. Balozi Haji Hamza.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa (kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu wakati wa kikao hicho.Kushoto ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe. Balozi Haji Hamza.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment