Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kutofunga barabara kwa muda mrefu kusubiri kupita msafara wa kiongozi, huku akitolea mfano barabara kufungwa kwa takribani saa 4 kumsubiru apite akiwa katika ziara mkoani Mwanza.
Thursday, April 13, 2023
New
DKT.MPANGO:MSISIMAMISHE MAGARI MUDA MREFU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment