HABARI PICHA :MHANDISI KUNDO ATEMBELEA MABANDA WIKI YA UBUNIFU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, April 27, 2023

HABARI PICHA :MHANDISI KUNDO ATEMBELEA MABANDA WIKI YA UBUNIFU

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akipata maelezo katika banda la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati akikagua Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kukagaua na kujionea maendeleo ya Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023 .Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Bi.Sylvia Lupembe.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akipata maelezo katika banda la Tume ya nguvu za Atomiki nchini (TAEC) wakati akikagua Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akiuliza swali katika banda la Tume ya nguvu za Atomiki nchini (TAEC) wakati akikagua Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akipata maelezo katika banda la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati akikagua Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akizungumza katika banda la Benki ya CRDB wakati akikagua Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew,akipata maelezo katika Mabanda mbalimbali wakati akikagua Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Aprili 27,2023.

No comments:

Post a Comment