Baraza la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi @nactvet Wanawakumbusha wadau wao kujisajili Kwa ajili ya kushiriki
Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuanzia tarehe 16 Hadi 22 Mei,2023 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha @nactvet
Wote Mnakaribishwa kujisajili kwani nafasi zimebaki chache sana.@nactvet
No comments:
Post a Comment