NAIBU WAZIRI NDEJEMBI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA TARURA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, May 2, 2023

NAIBU WAZIRI NDEJEMBI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA TARURA


Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deogratius  Ndejembi  amefanya ziara katika Makao makuu ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na kufanya kikao na Menejimenti, Wakuu wa Idara na Vitengo wa TARURA.


Ndejembi amefanya ziara hiyo leo tarehe 02 Mei 2023 jijini Dodoma, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI.



Pamoja na Mambo mengine, Ndejembi amepokea taarifa ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini kuhusu ujenzi, ukarabati na matengenezo ya miundombinu ya barabara za vijijini na Mjini kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng. Victor Seff.

No comments:

Post a Comment