HABARI PICHA : BUNGENI LEO WAZIRI MKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE MBALIMBALI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, June 15, 2023

HABARI PICHA : BUNGENI LEO WAZIRI MKUU AKISALIMIANA NA WABUNGE MBALIMBALI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Spika na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, kwenye jengo la Utawala, Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. Kulia juu ni Mbunge wa Viti Maalum, Aisharose Matembe na kulia juu ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment