Kikao cha maandalizi kuelekea zoezi la kampeni ya Kili Challenge 2023 ambapo inatarajiwa washiriki 60 kupanda mlima Kilimanjaro na kuendesha baiskeli ikiwa ni sehemu ya kuchangia masuala ya Afua za UKIMWI nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu na Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mkoani Kilimanjaro Julai 14, 2023.
Thursday, July 13, 2023
New
MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUELEKEA KAMPENI YA KILI CHALLENGE 2023 MKOANI KILIMANJARO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment