Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa huyo wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri Simbachawene iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma. |
No comments:
Post a Comment