NAIBU KATIBU MKUU BW. MUTATEMBWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU DKT. ISLAM SALUM ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, August 25, 2023

NAIBU KATIBU MKUU BW. MUTATEMBWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU DKT. ISLAM SALUM ZANZIBAR


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa akutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Dkt. Islam Salum alipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kushiriki katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uandaaji na Uandishi wa Sera za Kisekta, Zanzibar – 2022 uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul – Wakil Kikwajuni Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2023

No comments:

Post a Comment