Picha za Matukio mbalimbali ya wananchi wakipatiwa Elimu na huduma mbalimbali katika Banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao lililopo katika viwanja vya John Mwakangale-Nanenane jijini Mbeya.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) inashiriki Maonesho ya kimataifa ya Nanenane mwaka 2023 kwa lengo la kutoa Elimu kwa wananchi kuhusu kazi na Majukumu ya Mamlaka
Lakinj pia kuzisisitiza Taasisi za umma kutumia TEHAMA katika utoaji wa huduma zao ili kumrahisishia mwananchi kupata huduma hizo kwa urahisi na gharama nafuu.
No comments:
Post a Comment