KAMATI ZA MAAFA MKOA WA MWANZA WAPEWA MBINU ZA KUKABILIANA NA MVUA ZA EL - NINO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 26, 2023

KAMATI ZA MAAFA MKOA WA MWANZA WAPEWA MBINU ZA KUKABILIANA NA MVUA ZA EL - NINO

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Menjimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kituo cha Oparesheni na Mawasiliano ya Dharula Bw. Prudence Costantine akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mafunzo ya kuimarisha Uwezo wa kamati za Usimamizi wa Maafa za Mkoa wa Mwanza ya kukabiliana na athari za mvua za El- Nino yaliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Mratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Yona Benjamini akiwasilisha mada katika mafunzo ya kuimarisha Uwezo wa kamati za Usimamizi wa Maafa za Mkoa wa Mwanza ya kukabiliana na athari za mvua za El- Nino yaliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.

No comments:

Post a Comment