MATUKIO KATIKA PICHA MANAIBU MAWAZIRI WATETA NA WANAWAKE PEMBA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, September 27, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA MANAIBU MAWAZIRI WATETA NA WANAWAKE PEMBA


Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga wamekutana na kufanya mazungumzo na wanawake Pemba katika ukumbi wa mikutano wa Makonyo Wami Pemba tarehe 27 Septemba, 2023.

No comments:

Post a Comment