MIKAKATI YAWEKWA KUIMARISHA UENDESHAJI WA PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO NA UVUVI (AFDP) ni - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 5, 2023

MIKAKATI YAWEKWA KUIMARISHA UENDESHAJI WA PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO NA UVUVI (AFDP) ni

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Paul Sangawe akiongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya uendeshaji wa programu ya kuendeleza sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichowahusisha wakurugenzi wa taasisi zinazotekeleza programu (ITAC).Kikao kilifanyika katika Ukumbi wa mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Septemba, 2023.
Afisa Kiongozi wa Mradi wa Programu ya Kuendeleza sekta ya Kilimo na Uvuvu (AFDP) kutoka Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Bi. Amina Ussi akichangia jambo wakati wa kikao hicho.
Mratibu wa Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) ambaye ni Katibu wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya uendeshaji wa program hiyo Bw. Salimu Mwijaka akichangia jambo wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya uendeshaji wa programu ya kuendeleza sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) wakifuatilia hoja za mwenyekiti wa kikao (hayupo pichani) walipokutana Jijini Dar es Salaam Septemba 5, 2023.
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya uendeshaji wa programu ya kuendeleza sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) wakifuatilia hoja za mwenyekiti wa kikao (hayupo pichani) walipokutana Jijini Dar es Salaam Septemba 5, 2023.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa MbeguTanzania (TOSCI), Patric Ngwediagi akifafanua jambo wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Paul Sangawe akiongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya uendeshaji wa programu ya kuendeleza sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) walipokutana Ukumbi wa Ofisi hiyo Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment