MATUKIO KATIKA PICHA : DKT. YONAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KUELEKEA SIKU YA UKIMWI DUNIANI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 29, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA : DKT. YONAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KUELEKEA SIKU YA UKIMWI DUNIANI


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yatakayofanyika 1 Disemba,2023 katika Viwanja vya Morogoro Sekondari ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa(mb).

Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni
 "Jamii Iongoze Kutokomeza UKIMWI"

Aidha ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wananchi kujitokeza katika maadhimisho hayo na kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI Nchini.



No comments:

Post a Comment