JESHI LA POLISI LAWAPONGEZA ABIRIA WA MPIJI MAGOE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, December 18, 2023

JESHI LA POLISI LAWAPONGEZA ABIRIA WA MPIJI MAGOE


Jeshi la Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani imewapongeza abiria wa kituo cha daladala Mpiji Magoe ,Mbezi Jijini Dar Es Salaam, kwa kutengeneza utaratibu wa kusubiri Basi kwa kupanga mstari, Basi linapofika wanapanda kwa mstari, likijaa, wanaobaki wanasubiri lingine,huku Jeshi hilo likisema huo ustaarabu wa abiria hao ni wa kuigwa na watanzania wengine wanaotumia mabasi.

No comments:

Post a Comment