Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe Jenista Mhagama pamoja na Afisa habari wa Ofisi hiyo Bw. Tegemeo Kastus wakiongozana kuelekea Katesh Hanang' kwenye maafa ya mafuriko yaliyotokea leo Disemba 3, 2023.Pamoja na kikosi cha pili cha Jeshi cha uokoaji ndani ya Helcopter kuelekea kwenye tukio ili kuendelea na zoezi la uratibu uokoaji katika eneo hilo
Sunday, December 3, 2023
New
WAZIRI MHAGAMA AKIELEKEA HANANG KURATIBU MAAFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment