Waziri Mhagama aongoza zoezi la Kurejesha hali Maafa ya Hanang' - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, December 5, 2023

Waziri Mhagama aongoza zoezi la Kurejesha hali Maafa ya Hanang'


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe.Jenista Mhagama akiongoza zoezi la uondoaji wa tope katika eneo la makazi ya watu Katesh Mkoani Manyara walioathiriwa na madhara ya maafa ya maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanang'

No comments:

Post a Comment