Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akipitia moja ya vitabu alivyovikuta katika Ofisi za Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakati wa ziara yake katika ofisi hizo Jijini Dar es Salaam. |
Thursday, December 7, 2023
New
ZIARA YA MHE. WAZIRI SIMBACHAWENE KATIKA OFISI YA IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment